Abari gani,karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado tarehe 13.oktoba 2022 tunayo mambo muhimu. 🔸Mtu mmoja ameuawa katika shambulizi la kigaidi kijiji cha Ntoli wilaya ya Nangade. 🔸Uwongozi Wa SADC wamekabizi nyenzo zilizopatikana katika operasheni za kukabiliana na magaidi. 🔸Nusu ya walimu wamerejea katika wilaya zilizokumbwa na ugaidi. Endelea…
Abari gani, karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 11.oktoba.2022 tunayo mambu muhimu. 🔸Yameripotiwa mashambulizi Matatu mapya ya vita huko Cabo Delgado. 🔸Watu ambao walikuwa kwenye gari la Mahindra wementeka nyara kiongozi wa dini huko wilaya ya Chiúre. 🔸Magaidi wanadai tukio lá vita Omba wilaya ya Mueda. Endelea…
Abariyako,karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado tarehe 6.oktoba.2022.mambo muhimu . 🔸 Miaka mitano ya ugaidi huko Cabo Delgado ACNUR wanaomba viishe vita. 🔸 Serekali inaonekana kuwalazimisha watu waliokimbia kurejea makzi yao. 🔸 Mateka ishirini wa magaidi wamijisalimisha kwa mamlaka wilaya ya Mocimboa. Endelea kupata habari za Cabo Delgado…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali pa kusikiliza zaidi kuhusu Jimbo hili.Sauti ya Cabo Delgado inatengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Jumanne hii oktoba 04.2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Magaidi wameua tena katika wilaya za Macomia na Meluco. 🔸Serekali imesema Palma iko salama na…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali pa kusikiliza zaidi kuhusu Jimbo hii. Sauti ya Cabo Delgado inatengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Alhamissi hii 29.09.2022 tunayo mambo yafuatayo. 🔸Msumbiji na Tanzânia wanajadili tena ugaidi huko Cabo Delgado. 🔸Wilaya ya Mueda na Nangade zilishambuliwa tena…
Karibu kwenye Sauti ya Cabo Delgado mahali pa kusikiliza zaidi kuhusu Jimbo hii. Sauti ya Cabo Delgado inatengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Jumanne hii septemba 27.2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Watu watano wameuawa katika shambulio la pili wilaya ya Metuge. 🔸Uwongozi wa SADC umethibitisha…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali pa kusikiliza zaidi kuhusu Jimbo hii.Sauti ya Cabo Delgado inatengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Alhamissi hii Septemba 22.2022 ,tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Watu watatu wamekatwa vichwa eneo la umbali wa kilometa 30 na makao Makuu ya wilaya…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali pa kusikiliza zaidi kuhusu Jimbo hili. Sauti ya Cabo Delgado inatengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Jumanne hii septemba 20.2022,tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Wanajeshi 16 Wameuawa huko Macomia. 🔸Nsafara wa usindikizaji wa majeshi wa Msumbin na wa Rwanda…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali pa kusikiliza zaidi kuhusu Jimbo ili. Sauti ya Cabo Delgado inatengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Alhamissi hii septemba 15.2022,tunayo mambo muhimu yafuatayo . 🔸 Watu Watatu wameuawa na magaidi huko Muidumbe 🔸 Polisi imewafunga watu 29 kwa…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgasdo mahali pa kusikiliza zaidi kuhusu Jimbo ili. Sauti ya Cabo Delgado inatengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Jumanne hii,septemba13,2022,tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Kuna wakimbizi zaidi 11.000 walioko Nampula. 🔸Kijana kapigwa lisasi na wanajeshi wilayani Nangade. 🔸Serekali inatarajia Kuanza tena…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali pa kusikiliza zaidi kuhusu Jimbo ili. Sauti ya Cabo Delgado inategenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Alhamissi HII, Septemba 08,2022, tunayo mambo muhimu yafuatayo: 🔸 Muanake wa Itália ambeye alikuwa anatumikia kanisa la katolika ameuawa na magaidi huko…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali pa kusikiliza zaidi kuhusu jimbo hii.Sauti ya Cabo Delgado inatengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo_Ligado. Jumanne hii, Septemba 06.2022.tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Kundi la vijana wamechoma mota nyumba za wanainchi huko Ancuabe. 🔸Magaidi wamefanya tukio la vita kutua Wilaya…
Karibu kwenhe Sauti ya Cabo Delgado, mahali ambapo unaweza kusikiliza zaidi kuhusu Jimbo Ili. Alhamissi hii Septemba 01,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo: 🔸 Shambulio jengine jipya la kigaidi limesababisha vifo vya watu sita katika wilaya ya Ancuabe. 🔸 Huduma za INSS zimefunguliwa katika wilaya ya Mocimboa da Praia. 🔸 Wafanyabiashara…
Karibu kwenye Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kusikiliza zaidi kuhusu jimbo ili Jumanne hii Agosti 30,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo: 🔸Wanajeshi watatu na raia wawili wameuawa huko wilaya ya Meluco. 🔸 Njaa inawatia wasiwasi wakimbizi walioko Nacala-Porto nkoa wa Nampula. 🔸Jamii za Muidumbe na Nangade zimeshambuliwa tena upya…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kusikiliza zaidi kuhusu jimbo ili Alhamissi hii Agosti 25. 2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Watu 900.000 wako katika hatar ya njaa kaskazini mwa Msumbiji kutokana na vita ya ugaidi. 🔸Serikali haijui sababu za mashambulizi huko Cabo Delgado na inataka jibu kutoka…
Karibu kwenye Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kusikiliza zaidi kuhusu jimbo ili. Jumanne hii Agosti 23. 2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo: 🔸 Magaidi wavamia kambi ya UIR huko Nangade. 🔸 Zaidi ya wafanha kazi wa sirikali 1. 400 wamerejea katika maeneo yao ya asili. 🔸Jeshi la SADC kuendelea…
Karibuni nafassi ya shauti ya Cabo Delgado, ukurassa ukupha habari za kukamilika kuhusu provínciya eyi na viswa vikulu vya habari lelo alkhamiss, tareh 18.08.2022 ndivi: 🔸 Zaidi ya wakimbizi alfu 200 wuludi m'makaya mwawo - keleza raisi wa Moçambiqui. 🔸Hali ya mainsha yankukwela mu distritu ya Nangadi na mbaya zaidi…
Karibu kwenye Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kusikiliza zaidi kuhusu Jimbo Ili. Jumanne hii 16, Agosti tunayo mambo muhimu yafuatayo: 🔸 Maisha kurudiya upya huko Quissanga baada ya kurudi kwa wakimbizi. 🔸 Watu sita wamitekwa nyara katika uvamizi mwengine wa kigaidi wilaya ya Nangade. 🔸 Zaidi ya viwanda…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado, mahali ambapo unaweza kusikiliza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado, Alhamissi hii Agosti 11, 2022, tunayo mambo muhimu yafuatayo: 🔸 Mili mitatu ilipatikana bila uhai kwenye ukingo wa Mto Messalo. 🔸Gavana wa Nampula amewaomba wakimbizi wasirudi Cabo Delgado. 🔸 Hali ya Cabo Delgado inakuwa…
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kusikiliza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Jumanne hii Agosti 09,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo: 🔸 Nkuu wa wilaya ya Balama anafafanua kuwa vijana waliokamatwa wiki iliopita sio magaidi. 🔸Kumerejea tena usindikizaji wa laiya kwenye barabara inayounganisha makao makuu ya Macomia…
9 Aug 2022 5AM
4 min
232 – 252
Agree to storing cookies on your device.
Cookie preferences
iono.fm may request cookies to be stored on our device. We use cookies to understand how you interact with us, to enrich and personalise your experience, to enable social media functionality and to provide more relevant advertising. Using the sections below you can customise which cookies we're allowed to store. Note that blocking some types of cookies may impact your experience.