Sauti Ya Cabo Delgado 04.10 .2022

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali pa kusikiliza zaidi kuhusu Jimbo hili.Sauti ya Cabo Delgado inatengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Jumanne hii oktoba 04.2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo.

🔸Magaidi wameua tena katika wilaya za Macomia na Meluco.

🔸Serekali imesema Palma iko salama na miradi inaweza kwanza tena.

🔸Magaidi wawili wajisalimisha kwa mamlaka ya Nangade.

Endelea kupata habari za Cabo Delgado kipitia kurasa yetu ya Facebook,chebeli ya telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.

Plural Media hanari kwa lugha yako.