Plural Media Sauti ya Cabo Delgado — Voz de Cabo Delgado em Kiswahili

Sauti ya Cabo Delgado — Voz de Cabo Delgado em Kiswahili

Sauti ya Cabo Delgado — Voz de Cabo Delgado em Kiswahili
Daily Swahili Mozambique Daily News
381 Episodes
1 – 20

Sauti Ya Cabo Delgado 07.12.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 07.12.2013.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Mkutano unakuza mazungumzo baina ya dini katika mji wa Pemba. 🔸 Ndoa za mapema uko Cabo…
6 Dec 11PM 8 min

Sauti Ya Cabo Delgado 05.12.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 05.12.2023.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Ureno inatetea kadumisha misheni ya mafunzo ya umoja ya ulaya nchini Mozambique . 🔸 Kuna ukosefu…
5 Dec 12AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 30.11.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 30.11.2023. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Japan inataka juhudi zaidi kuboresha usalama Huko Cabo Delgado 🔸 Moto wateketeza ghala la SISE…
30 Nov 12AM 8 min

Sauti Ya Cabo Delgado 28.11.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 28.11.2023. sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Imeundwa tume ili kudumisha mazungumuzo na magaidi Huko Cabo Delgado 🔸 Kuna shambulio Jipya kwenye…
27 Nov 11PM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 23.11.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 23.11.2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Shambulio Jipya Huko Muidumbe limesababisha vifo vya watu wawili na kutekwa nyara Kwa wanawake 11. 🔸…
22 Nov 2PM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 21.11.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 21.11.2023. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Watu wanne mamekamatwa Kwa tuhuma za kufadili magaidi 🔸 Utafiti wa SIP unaonyesha ongezeko la…
20 Nov 11PM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 16.11.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 16.11.2023. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Família zakimbia Muidumbe kutokana na ukosefu wa usalama. 🔸 Shambulizi Jipya Laua watu wanne katika…
16 Nov 12AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 14.11.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 14.11.2023.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Raia wanne waliuawa katika shambulio linalohusishwa na magaidi Huko Macomia 🔸 Takribani watu milion moja walirejea…
14 Nov 1AM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 09.11.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 09.11.2023. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Mahakama ya Cabo Delgado itahukumu kesi 12 za ugaidi. 🔸 Zaidi ya watu elfu 30…
9 Nov 12AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 07.11.2023

Habari gani karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 07.11.2023. sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Umoja wa Mataifa utatowa msaada wa wasiriwa wa ugaidi na matukio ya asili uko Cabo…
7 Nov 12AM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 02.11.2023

Habari gani karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 02.11.2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. kwasasa mambo muhimu. 🔸 Mchanganuzi wa uchumi anahonya Mozambique kurekebisha deni lake ili wanufaike na mapato ya gesi kutoka Palma…
2 Nov 12AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 31.10.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 31.10.2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Magadi walisamba katika wilaya ya Quissanga. 🔸 India inania ya Ges ya Palma. 🔸 Katibu wa…
31 Oct 1AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 26.10.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 26.10.2023.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Waasi wamewakamata watu Watano katika siku za ivi karibuni Huko Cabo Delgado. 🔸 Magaidi wazidisha matumizi…
26 Oct 1AM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 24.10.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 24.10.2023.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Takribani asilimia 70 ya watu waliokimbia makazi Yao walirejea katika maeneo Yao ya asili . 🔸…
24 Oct 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 19.10.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 19.10.2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Wawindaji wawili wamekatwa vichwa na magaidi katika wilaya ya Macomia. 🔸 Mungano wametoa maelezo ya nia…
19 Oct 2AM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 17.10.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 17.10.2023.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Mwanachama wa Renamo aliuawa huko Chiure. 🔸 Chama Frelimo wamentangaza mshindi wa Manispa Huko Mocimboa da…
17 Oct 1AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 12.10.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 12.10.2023.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 TotalEnergies inashutumiwa kwa uzembe wakati wa shambulio la kigaidi Huko Palma mnamo 2021. 🔸 Mocimboa da…
12 Oct 1AM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 10.10.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 10.Oktoba.2023. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Kamanda wa Police anatoa wito kwa majeshi kuishi Viema na watu waliorudiswa. 🔸 Vifa zaidi…
9 Oct 11PM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 05.10.2023

Habari gani karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 05.Oktoba.2023. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Kamanda mkuu wa Police anasema Kuna usalama wa makampuni ya mafuta kurejea Cabo Delgado. 🔸…
5 Oct 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 03.10.2023

Habari gani karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 03 Oktoba, 2023. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Wazir wa ulinzi anatabiri kuongezeka kwa gasia Huko Cabo Delgado. 🔸 Umoja wa…
3 Oct 2AM 5 min
1 – 20