Sauti Ya Cabo Delgado 22.09.2022

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali pa kusikiliza zaidi kuhusu Jimbo hii.Sauti ya Cabo Delgado inatengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Alhamissi hii Septemba 22.2022 ,tunayo mambo muhimu yafuatayo.

🔸Watu watatu wamekatwa vichwa eneo la umbali wa kilometa 30 na makao Makuu ya wilaya ya Metuge.

🔸Raisi Nhusi anaomba uvumilivu kwa watu 80 ambao walitekwa na magaidi.

🔸Majeshi wa Msumbiji wamishambulia vituo vya Magaidi huko Nangade.

Endelea kuapata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa yetu ya avoz.org au kutoka kwa kurasa yetu ya Facebook,chenel ya telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.

Pluaral Media habri kwa lugha yako.