Plural Media Sauti ya Cabo Delgado — Voz de Cabo Delgado em Kiswahili

Sauti ya Cabo Delgado — Voz de Cabo Delgado em Kiswahili

Sauti ya Cabo Delgado — Voz de Cabo Delgado em Kiswahili
Daily Swahili South Africa Daily News
498 Episodes
212 – 232

Sauti Ya Cabo Delgado 22.12. 2022

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 22,Desemba,sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 Idadi wengi ya watu wanarejea Mocimboa da Praia lakini huduma za kimsingi bado ni duni. 🔸…
22 Dec 2022 1AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 20.12. 2022

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 20, Desemba,sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 Kampuni ya Rwanda imeshinda mkataba wa dolar 800.000 huko Palma. 🔸 Takriban wavuvi 100 wamekwenda…
20 Dec 2022 4AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 15.12. 2022

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 15,Desemba,sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 Chama Renamo wanalani uungaji mkono wa umoja wa ulaya kwa vikosi vya Rwanda huko Cabo Delgado…
14 Dec 2022 3PM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 13.12. 2022

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 13 Desemba 2022,sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 Rais Nyusi amesema Nampula ndi kituo cha kuwasajili magaidi. 🔸 Watu 5 wa kikosi cha Namparama wamikatwa vicha na…
12 Dec 2022 11PM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 08.12. 2022

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 08 Desmba 2022, Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na mradi wa Cabo ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 Watu wanaoshukiwa kuwa magaidi wamefungwa mji wa Pemba. 🔸 Kikosi cha Namparama kinatuhuniwa kuwanyanyasa na kotoheshimu raia wa…
7 Dec 2022 11PM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 06.12. 2022

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 06,Desemba 2022.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 Vikosi vya Namparama vimidai kuwaua magaidi 11. 🔸 Paulo Kagame amesema kuna zaidi ya wanajeshi…
5 Dec 2022 11PM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 01.12. 2022

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 01,Desemba 2022.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 Mwanajeshi wa Botswana amefariki akiwa kwnye misheni ya SADC uko Nangade. 🔸 Bado mapema kwa…
1 Dec 2022 4AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 29.11.2022

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 29,Novemba.2022 Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 Watu watano wamikatwa vichwa katika wadhifa wa utawala wa Nairoto wilaya ya Montepuez. 🔸 Karibu…
28 Nov 2022 5PM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 24.11.2022

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 24,Novemba 2022.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 Ntego wa kigaidi umemuua muanachama mkuu wa Police wa Palma. 🔸 Zaidi ya watu 2.000…
23 Nov 2022 11PM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 22.11.2022

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 22,Novemba 2022.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 Wanainchi wamiama kijiji cha nguida bahada ya shambulio jipya la Magaidi. 🔸 Mashilika la watu…
21 Nov 2022 11PM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 17.11.2022

Habari gani,karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado tarehe 17,Novemba,2022,Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kkshirikiana na mrdadi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 Magaidi wamishambulia wilaya ya Balama. 🔸 Hakuna kambi za kudumu za kigaidi amiakikisha wazili wa ulinzi…
17 Nov 2022 1AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 15.11.2022

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 15,Novemba,2022 Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Mambo muhimo kwa sasa. 🔸 Tayari Ges imebebwa mara yakwanza katika bonde la Rovuma Jumapili hii. 🔸 Zaidi ya watu…
14 Nov 2022 10PM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 10.11 .2022

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 10,Novemba,2022.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habri inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi Wa Cabo Ligado. Mambo muhimu kwa sasa. 🔸 Harakati za kujitoleya husaidia kupata watu waliopoteya katika mashambulizi 🔸 Wafanyakazi 14 waliongoza fujo katika kampuni…
10 Nov 2022 3AM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 08.11 .2022

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 08,Novemba,2022. sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Mambo muhimu kwa sasa. 🔸 Shambulio jipya la kigaidi wameuawa watu wawili katika wilaya ya Namuno. 🔸 Magaidi wanaua uko…
8 Nov 2022 12AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 03.11. 2022

Habari gani,karibu kwenye toleo la ssuti ya Cabo Delgado tarehe 03,Novemba,2022.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushrikiana na mradi wa Cabo Ligado. Mambo muhimu kwa sasa. 🔸 Mwandishi wa habari na mwanaharakati Arlindo chissale kutoka pinnecle news amefungwa huko wilaya ya Balama. 🔸…
3 Nov 2022 12AM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 01.11. 2022

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 01,Novemba,2022.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Mambo muhimu kwa sasa. 🔸 Vikosi vya eneo la Nangade vimewaua magaidi 18 wakati wa shambulio katika kijiji cha liche…
1 Nov 2022 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 27.10. 2022

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 27,oktoba 2022.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habri inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Mambo muhimo kwa sasa. 🔸 Shambulio Jipya katika wilaya ya Macomia wameuawa watu Wanne. 🔸 Vikosi vya Rwanda vamegundua silaha…
27 Oct 2022 12AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 25.10. 2022

Abari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 25,oktoba 2022.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Mambo muhimu kwa sasa. 🔸 Watu wawili wamikatwa vichwa katika wilaya ya Chiúre. 🔸 Mashambulize kwenye eneo la uchimbaji kulazimisha…
24 Oct 2022 4PM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 20.10. 2022

Abari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 20 oktoba 2022.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Mambo muhimu kwa sasa. 🔸Magaidi wa wamewaua watu Watatu wilaya ya Ancuabe. 🔸Wananchi wanakosoa usimamizi wa mji wa Pemba…
19 Oct 2022 3PM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 18.10. 2022

Abari gani,karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado tarehe 18.oktoba 2022.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotayarishwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado. Mambo muhimu kwa sasa. 🔸 Magaide wamewaua watu wawili wilaya ya Nangade. 🔸 INGD imesema iko tayari kukabiliana na msimu…
18 Oct 2022 2AM 6 min
212 – 232