Sauti Ya Cabo Delgado 10.11 .2022

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 10,Novemba,2022.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habri inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi Wa Cabo Ligado.

Mambo muhimu kwa sasa.

🔸 Harakati za kujitoleya husaidia kupata watu waliopoteya katika mashambulizi

🔸 Wafanyakazi 14 waliongoza fujo katika kampuni ya syrah huko Balama wamefukuzwa kazi.

Pata habari za Cabo Delgado kupitia kwenye whatssAp kwa kutuma ujumbe kwenda +28843285766 kisha uchague lugha kati ya kireno kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.

Sikiliza habari kama izi matoleo mbalimbali :apa htts// iono.1237537.

Plural Media habari kwa lugha yako.