Sauti Ya Cabo Delgado 23.08.2022

--:--
Karibu kwenye Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kusikiliza zaidi kuhusu jimbo ili. Jumanne hii Agosti 23. 2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo:

🔸 Magaidi wavamia kambi ya UIR huko Nangade.

🔸 Zaidi ya wafanha kazi wa sirikali 1. 400 wamerejea katika maeneo yao ya asili.

🔸Jeshi la SADC kuendelea Cabo Delgado.

Endele kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa yetu ya avo.org au kutoka kwa kurasa yetu ya Facebook, cheneli ya Telegram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya Kireno, Kimakuwa, Kimakonde, Kimwani na Kiswahili.

Plural Media-habari kwa lugha yako.
23 Aug 2022 8AM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado 18.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 18.04.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Rubani wa Africa kusini na Polisi wa Mozambique wafariki katika ajali ya Ndege 🔸 Wanajeshi…
18 Apr 1AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 16.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 16.04.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Majeshi wanaendelea mashambulizi didhi ya Magaidi wilaya ya Macomia. 🔸 Magaidi waua Raia watano Wilaya…
16 Apr 1AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 11.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 12.04.2024, sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Magaidi kusherekehea muisho wa Ramadhani pamoja na wakazi wa kagembe. 🔸 Semu ya Macomia na…
12 Apr 3AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 09.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado, terehe 09.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Wanajeshi wa SAMIM waanza kuondoka Cabo Delgado. 🔸 Ugumu wa usambazaji chakula unaendelea Mocimboa da Praia…
10 Apr 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 04.04.2024

Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado, terehe 04.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Magaidi waweka milango Mucojo. 🔸 Kazi za ukarabati katika barabara ya Macomia oasse zimeanza. 🔸 Kitengo cha…
4 Apr 1AM 4 min