Plural Media Sauti ya Cabo Delgado — Voz de Cabo Delgado em Kiswahili

Sauti ya Cabo Delgado — Voz de Cabo Delgado em Kiswahili

Sauti ya Cabo Delgado — Voz de Cabo Delgado em Kiswahili
Daily Swahili South Africa Daily News
498 Episodes
152 – 172

Sauti Ya Cabo Delgado 03.08.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 03, Agasti 2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Wanawake wanne wamefariki maji walipokuwa wakikimbia Miliyo ya Bunduki Huko Muidumbe. 🔸 Barabara ya…
3 Aug 2023 1AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 01.08.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 01 Agasti,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Misheni ya Jeshi la Ulaya inaitaka Serikali ya Mozambique kuunda kamandi ya Jeshi la FIR. 🔸…
1 Aug 2023 1AM 8 min

Sauti Ya Cabo Delgado 27.07.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 27, Julai,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Delgado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Watu wasiojulikana hutekeleza wizo wilaya ya Mocimboa da Praia. 🔸 Wanja wa Ndege Mocimboa da…
27 Jul 2023 1AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 25.07.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 25,Julai,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Umoja wa mataifa wamesema Kuna uhusiano kati ya Magaidi wanaoendesha shughuli Zao Congo na Mozambique. 🔸…
25 Jul 2023 12AM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 20.07.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 20 Julai,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Serikali imetangaza orodha ya Magaidi 43 wanaoendesha shughuli huko Mozambique. 🔸 Watu wawili wamewaua Kwa…
20 Jul 2023 12AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 18.07.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 18,Júlai,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Misheni ya Kijeshi ya SADC Huko Cabo Delgado wataka tena hadi Júlai mwaka ujao . 🔸…
18 Jul 2023 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 13.07.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 13,Júlai,2023.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. Watu wasiojulikana wamechoma 🔸 Boti za wavuvi wilaya ya Macomia. 🔸 Kampuni ya Canada wanandaa ndege za…
13 Jul 2023 1AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 11.07.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 11, Júlai,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Magaidi wamewaua Majeshi Nane wa Jeshi la ulinzi la Mozambique katikati wilaya ya Mocomia 🔸…
11 Jul 2023 12AM 9 min

Sauti Ya Cabo Delgado 06.07.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 06, Julai,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Watu wawili wameuawa katika mashambulizi ya kigaidi wilaya ya Mocimboa da Praia. 🔸 Mozambique na…
6 Jul 2023 1AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 04.07.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 04 Júlai,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. Mipango ya usaidizi Kwa 🔸 Wasiriwa wa ugaidi wanawatafuta wafadhili. 🔸 ONU yaitambua Cabo Delgado ripoti…
4 Jul 2023 1AM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 29.06.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 29 Juni 2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Huduma za kimsingi azipo Katika maeneo yalioyoathiriwa na ugaidi uko Cabo Delgado. 🔸 Wazili…
29 Jun 2023 1AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 27.06.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 26,Juni2023.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Raisi WA Rwanda amesema wanajeshi wake wanakomesha ugaidi Huko Cabo Delgado. 🔸 Jeshi lá Angani lá…
27 Jun 2023 12AM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 22.06.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 22,Juni,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Kampuni ya watu Binafsi inashutumiwa Kwa ubadhirifu wa pesa za usaidizi wa kibinadamu…
22 Jun 2023 12AM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 20.06.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 20.Juni.2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Barua inayodaiwa Kutoka Kwa magaidi kuhusu shambolio la Mocimboa da Praia inawatia wasiwasi wanaorejea . 🔸…
20 Jun 2023 12AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 15.06.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 15.Juni.2023.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Gavana wa Cabo Delgado atembela eneo lililoharibiwa na magaidi. 🔸 Takriban família elfu 86 zilizoahatiriwa na ugaidi…
14 Jun 2023 5PM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 13.06.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado tarehe 13.Juni.2023.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwa Sasa mambo muhimu. 🔸 Majeshi wa UIR na wa Rwanda waliitwa kuzima fujo Huko Mocimboa da praia. 🔸 Ruby kubwa…
13 Jun 2023 12AM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 08.06.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 08,Juni,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwa Sasa mambo muhimu. 🔸 Meneja wa usalama wa total Energies ametembela Cabo Delgado. 🔸 Wanainchi wameokota miili katika eneo lá…
8 Jun 2023 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 06.06.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 06.Juni.2023.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 Majeshi wanashutumiwa kuwanyanyasa raia katika Kijiji Cha Mocimboa da Praia. 🔸 CDD wanataka vijana washiriki…
6 Jun 2023 2AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 01.06.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado Cabo Tarehe 01,Juni,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Maleiane anatoa wito Kwa wafanyabiashara Huko Cabo Delgado kuchukua fursa ya kuchimba gesi. 🔸 Meli itwayo…
1 Jun 2023 1AM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 30.05.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado, tarehe 30,Mei,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 kuondolewa Kwa kampuni ya Pluxus mji Pemba kunawaweka wakulima 50.000 Huko Cabo Delgado hatarini 🔸…
30 May 2023 1AM 6 min
152 – 172