Sauti Ya Cabo Delgado 08.06.2023
--:--
Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 08,Juni,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwa Sasa mambo muhimu.
🔸 Meneja wa usalama wa total Energies ametembela Cabo Delgado.
🔸 Wanainchi wameokota miili katika eneo lá mapigano wilayani Muidumbe.
🔸 Watu wa nane wamefungwa wakisafilisha pembe kutoka Pemba.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.Org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.