Plural Media Sauti ya Cabo Delgado — Voz de Cabo Delgado em Kiswahili

Sauti ya Cabo Delgado — Voz de Cabo Delgado em Kiswahili

Sauti ya Cabo Delgado — Voz de Cabo Delgado em Kiswahili
Daily Swahili South Africa Daily News
498 Episodes
172 – 192

Sauti Ya Cabo Delgado 25.05.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado tarehe 25.Mei.2023, sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 TotalEnergies imetoa ripoti juu tá Hali ya kibinadamu Huko Cabo Delgado. 🔸 Waasi wamiwateka nyara watu…
25 May 2023 1AM 8 min

Sauti Ya Cabo Delgado 23.05.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado tarehe 23.Mei.2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Kundi la askari linajarinu kushambulia Kijiji cha chai. 🔸 Shule zinafanya kazi Huko Cabo Delgado chini ya…
23 May 2023 1AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 18.05.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 18,Mei,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Kambi ya vikosi vya Africa kusini vimishambuliwa na magaidi. 🔸 Raia amepigwa risasi na majeshi ya Rwanda…
18 May 2023 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 16.05.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 16,Mei 2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. Wazir wa mambo ya Ndani amesisitiza kuwa mpaka wa na moto unafunguliwa mwaka huu. 🔸 Kituo cha…
16 May 2023 1AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 11.05.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 11,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 Madai ya kutoka Wanajeshi wilaya ya Mocimba da praia kunawatia wasiwasi wafanyabiashara. 🔸 Kikosi cha pili…
11 May 2023 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 09.05.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 09 Mei 2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 Magaidi sita wameuawa katika wilaya ya Muidumbe. 🔸 Mamlaka ya wilaya ya Mueda…
9 May 2023 12AM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 04.05.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado tarehe 04,Mei 2023,sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Wanajeshi watano wamewaua katika shambulio la kigaidi huko Muidumbe. 🔸 Wafanyakazi Watatu wa ugaidi wamekamatwa…
4 May 2023 12AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 02.05.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado tarehe 02 Mei 2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 IESE imechapisha wasifu wa waasi huko Cabo Delgado. 🔸 Syrah inaonyesha kuwa usalama umeimariswa katika…
2 May 2023 1AM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 27.04.2023

Habar gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 27, April 2023, Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi habari ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Umoja wa ulaya wamewawekeya vikwazo watu binafsi kwa kuhusishwa na ugaidi na…
27 Apr 2023 2AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 25.04.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado tarehe 25, April 2023, Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 Harakati za ajabu zinarekodiwa kusini wilaya ya Ancuabe. 🔸 Kuna…
25 Apr 2023 12AM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 20.04.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 20, April 2023,sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. 🔸 Serekali ya Mocimboa da Praia yaamuru wafanyikazi warudishe Kwa lazima. 🔸 África kusini yaongeza uwepo wa askari…
20 Apr 2023 12AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 18.04.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 18, Aprili,2023,sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 Muidumbe kumesajiliwa mashambulizi matatu ya kigaidi katika muda wa chini ya wiki…
17 Apr 2023 11PM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 13.04.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 13 April 2023,Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 Msumbiji inapaswa kutoa mafunzo Kwa haraka Kwa watalamu wakulinda uzalishaji wa…
13 Apr 2023 1AM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 11.04.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 11, April 2023 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Média kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. 🔸 Idade ya watu wa Mocimboa da Praia inashusha thamani ya mamlaka ya Msumbiji. 🔸…
11 Apr 2023 1AM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 06.04.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 06, April 2023,sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Média kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 Mocimboa da praia akuna mazingira ya wasajili ya wapigakura. 🔸 Marekani…
6 Apr 2023 2AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 04.04.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 04 Aprili 2023, sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 Botswana wametangaza kikosi kipya chá kijeshi chá Cabo Delgado. 🔸…
4 Apr 2023 1AM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 30.03.2023

Habari gani ,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 30,Machi 2023,sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Média kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 Wafanyakazi katika mgodi wa ruby Uko Montepuez wamegoma tangu jumatatu, 🔸…
30 Mar 2023 1AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 28.03.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo tarehe 28,Machi 2023 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 Madakitar wasiona na mipaka wanasema hali katika Cabo Delgado si mzuri. 🔸…
28 Mar 2023 1AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 23.03.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 23 Machi 2023 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu 🔸 Jumuiya ya wafanyabiashara inalalamika mikataba ya ujenze kwenda Kwa watu wa inje. 🔸…
23 Mar 2023 1AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 21.03.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 21,Machi 2023 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 Magaidi wamepanda Kijiji cha ulo wakitafuta chakula. 🔸 Hospitali ya Mocimboa da Praia na…
21 Mar 2023 12AM 6 min
172 – 192