Sauti Ya Cabo Delgado 23.05.2023

--:--
Habari gani,karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado tarehe 23.Mei.2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

🔸 Kundi la askari linajarinu kushambulia Kijiji cha chai.

🔸 Shule zinafanya kazi Huko Cabo Delgado chini ya shindikizo Kutokana na vita.

🔸 Ukosefu wa uratibu unaendelea katika uingiliagi wa kibinadamu amani na maendeleo Huko Cabo Delgado.

Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.
23 May 2023 1AM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado 12.07. 2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 12,07,2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Vichwa vya Habari: 🔸 Wanajeshi waunne wauwawa na wananchi Wilaya ya Macomia 🔸 Majeshi wajitetea Kwa mauwaji ya mfanyabiashara…
12 Jul 1AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 04.07.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 04.07.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Vichwa vya Habari: 🔸 Serikali ya Cabo Delgado iko mbali na kudhibiti uchimbaji haramu wa Madini 🔸 Serikali yaondoa leceni…
3 Jul 11PM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 02.07.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 02.07.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Vichwa vya Habari: 🔸 Mzunguko wa watu waodhaniwa kuwa Magaidi unazuwa hofu Katika Wilaya ya Ancuabe 🔸 Serikali ya Metuge…
2 Jul 1AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 28.06.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe, 28.06.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Vichwa vya Habari: 🔸 Mashambulizi na hali mbaya ya hewa huzidisha hali ya njaa Mocimboa da Praia 🔸 Magaidi walipata…
28 Jun 2AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 26.06.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 26.06.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Vichwa vya Habari: 🔸 Majeshi wa UIR wanashutumiwa Kwa ulafi Katika mji wa Macomia 🔸 Wafanyikazi wa umma wagoma kurudi…
25 Jun 11PM 5 min