Sauti Ya Cabo Delgado 01.06.2023

--:--
Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado Cabo Tarehe 01,Juni,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

🔸 Maleiane anatoa wito Kwa wafanyabiashara Huko Cabo Delgado kuchukua fursa ya kuchimba gesi.

🔸 Meli itwayo Coral Sul imelipa mapato ya dola milioni 34 Kwa serikali.

🔸 CIP inashutumu ukahaba na unyanyasaji wa kingono Kwa wanawake waliokimbia makazi yao uko Cabo Delgado.

Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Média habari Kwa lugha yako.
1 Jun 1AM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado 28.09.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 28.Septeber,2023. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Magaidi wameaidi kuchambuliyo magari ya Kijeshi. 🔸 Umoja wa ulaya wametowa fedha Kwa ajili ya…
28 Sep 12AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 26.09.2023

Habari gani karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 26.September,2023.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Idade ya watu waliorudi Pangani wamekimbia tena Magaide. 🔸 Idade ya watoto elfu 200 walirudi tena…
26 Sep 1AM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 21.09.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 21,September ,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Zaidi ya nusu ya wasichana Huko Cabo Delgado wenye umuri wa miaka 15 na 19…
21 Sep 12AM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 19.09.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 19, Septemba,2023.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Magaidi wamewaua zaidi ya watu 11 katika wilaya ya Mocimboa da Praia. 🔸 Mkuu wa…
19 Sep 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 14.09.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 14, Septemba,2023. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Magaidi wanaoendesha shughuli Zao katika wilaya ya Macomia walipanda Kijiji Cha Pangani bila ya…
14 Sep 12AM 6 min