Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 31. 01. 2025

Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 31.01.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu.

Vichwa via Habari.

Wilaya mbili za Cabo Delgado zinakabiliwa na kipindupindu.:

๐Ÿ”ธ Takribani watu wawili waliuawa Katika shambulizi la kigaidi Katika Wilaya ya Palma

๐Ÿ”ธ Magaidi huwateka nyara watoto Wilaya ya Mocimboa da Praia

๐Ÿ”ธ Unaweza kusikiliza toleo hiili katika Luga uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani.

Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avoz.org pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast na unaweza kusikiliza habari izi kupitia Redio za Kijami ya Mueda, Montepuez na Palma.
31 Jan 2AM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 07. 02. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 07.02.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: ๐Ÿ”ธ Pundanhar inaludi Katika hali ya Kawaida baada ya shambuliio ๐Ÿ”ธ Zaidi ya Shule 80โ€ฆ
7 Feb 5AM 12 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 24. 01. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 24.01.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: ๐Ÿ”ธ Wananchi wa Macomia wanaridhika utenji kazi Pmajeshi wa Rwanda ๐Ÿ”ธ Watu wasiojulikana uleta hofu Katikaโ€ฆ
24 Jan 2AM 10 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 17. 01. 2025

Habari gani, Karibu kwenye toleo ya Cabo Delgado terehe 17.01.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: ๐Ÿ”ธ Daniel Chapo anaahidi kuimarisha Jeshi Katika juhudi za kukabiliana na waasi huko Cabo Delgado ๐Ÿ”ธ Watuโ€ฆ
17 Jan 3AM 11 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 10. 01. 2025

Habari gani, Karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 10.10.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: ๐Ÿ”ธ Kazi ya kuchimba grafite ya Ancuabe zimisimama zaidi ya miaka miwili ๐Ÿ”ธ Wathiriwa waโ€ฆ
10 Jan 12AM 14 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 03. 01. 2025

Habari gani, Karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 03.01.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa vya Habari: ๐Ÿ”ธ Cabo Delgado hakuna Kesi za kutengana Famรญlia Zinazohusisha watoto, inakikisha UNICEF ๐Ÿ”ธ Ngogora wa baadaโ€ฆ
3 Jan 1AM 10 min