Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 20.12. 2024

Loading player...
Habari gani, Karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 20.12.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu.

Vichwa via Habari:

๐Ÿ”ธ Mecufe kumeharibiwa kabisa na kimbunga Chido.

๐Ÿ”ธ Nyusi anawahomba wananchi waruhusu kampuni ya grafite Kuanza kazi tena .

๐Ÿ”ธ Magaidi wakata vichwa watu wawili huko Muidumbe.

Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avoz.org ya Cabo Delgado pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast,na unaweza kusikiliza habari izi kupitia Redio za Kijami ya Mueda, Montepuez na Palma, Luga ya Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani.
20 Dec 1AM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 13.12. 2024

Habari gani, Karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 13.12.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: ๐Ÿ”ธ Magaidi wamiaribu miundominu huko Muaguide ๐Ÿ”ธ Polisi wanasema wandamanaji wa Pemba walitoka Nampula ๐Ÿ”ธโ€ฆ
12 Dec 11PM 11 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 06.12.2024

Habari gani, Karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 06.12.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa vya Habari: ๐Ÿ”ธ Watu waliokimbia makazi yao Huko Chiure wanalalamika njaa ๐Ÿ”ธ Karibu vitengo elfu tano vyaโ€ฆ
6 Dec 12AM 11 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 29.11.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 29.11.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa vya Habari: ๐Ÿ”ธ Siricar wameruhusu watu waludi Mucojo. ๐Ÿ”ธ Famรญlia wanawakimbia Magaidi Chiure ๐Ÿ”ธ Viongizi via Kijeshiโ€ฆ
28 Nov 11PM 11 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 22.11.2024

Habari gani, Karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 22.11.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa vya Habari: ๐Ÿ”ธ Kikosi Cha Kijeshi Cha Namparama waliuawa Huko Ancuabe ๐Ÿ”ธ Majeshi wa FADM wamenusuru mji waโ€ฆ
22 Nov 1AM 10 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahilli 15.11. 2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 15.11.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: ๐Ÿ”ธ Kuenea Kwa Magaidi kunasababisha watu kukimbia Muidumbe ๐Ÿ”ธ Magaidi hushambulia eneo lรก uzalishaji Huko Melucoโ€ฆ
15 Nov 3AM 7 min