Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili - 18.10.2024

--:--
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 18.10.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu.

Vichwa vya Habari:

🔸 Wanyarwanda wapeleka kikosi Cha Kijeshi Mucojo

🔸 Watu wanawatuhumu wanajeshi Kwa kuwauwa madereva wawili wa pikipiki mji wa Pemba

🔸 Wananchi wamewakamata Magaidi wawili Wilaya ya Mocimboa da Praia.

Tumefika Mwisho wa toleo hiili ya Avoz. Org ya Cabo Delgado pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast, au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org. Na unaweza kusikiliza habari izi kupitia, Radio Ya Wilaya ya Mueda, Montepuez ,na Palma, Luga ya Kireno, kimakuwa, kimakonde, Kimuani na kiswahili.
18 Oct 3PM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado 12.10.2023

Habari gani karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 12.10.2024, Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media wakishilikiana na mradi wa Amani na utulivu. Vichwa vya Habari: 🔸 Rais wa Jamhur amfukuza kazi mkuu wa Majeshi 🔸 Kiwanda Cha kubangua korosho kimiajiri watu…
11 Oct 4PM 10 min

Sauti Ya Cabo Delgado 05.10.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 05.10.2024, Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media wakishilikiana na mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: 🔸 Cabo Delgado bado si salama a sema CIP. 🔸 Kituo cha afya chá Macomia kitafungua…
5 Oct 1AM 9 min

Sauti Ya Cabo Delgado 27.09.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 27.09.2024, Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Wanajeshi wa Mozambique wamesema Magaidi wamepoteza nguvu kwenye Pwani ya Macomia 🔸 Majeshi wa Mozambique huenda wakahusika na vifo vya raia Waliopatikana…
27 Sep 10AM 10 min

Sauti Ya Cabo Delgado 20.09.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 20.09.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media . Vichwa vya Habari wiki hiii: 🔸 Gavana wa Cabo Delgado ashauri thidi ya Kurudi Mukojo Maramoja. 🔸 Watu 17 wameukumiwa Kwa wahalifu wa kigaidi. 🔸…
20 Sep 11AM 12 min

Sauti Ya Cabo Delgado 29.08.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 29.08.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Vichwa via Habari: 🔸 Waasi wazidisha matumizi ya vilipuzi huko Cabo Delgado 🔸 Serikali yanfunga mwangalizi wa CIP Kwa tuhuma…
29 Aug 1AM 4 min