Sauti Ya Cabo Delgado 12.10.2023

--:--
Habari gani karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 12.10.2024, Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media wakishilikiana na mradi wa Amani na utulivu.

Vichwa vya Habari:

🔸 Rais wa Jamhur amfukuza kazi mkuu wa Majeshi

🔸 Kiwanda Cha kubangua korosho kimiajiri watu 100 huko Palma

🔸 Wananchi wa Pemba watoa wito wa kukomesha Mashambulizi ya kigaidi.

Tumefika Mwisho wa toleo hiili ya Avoz.org ya Cabo Delgado pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast, au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz .org.
11 Oct 4PM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 06.12.2024

Habari gani, Karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 06.12.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa vya Habari: 🔸 Watu waliokimbia makazi yao Huko Chiure wanalalamika njaa 🔸 Karibu vitengo elfu tano vya…
6 Dec 1AM 11 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 29.11.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 29.11.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa vya Habari: 🔸 Siricar wameruhusu watu waludi Mucojo. 🔸 Família wanawakimbia Magaidi Chiure 🔸 Viongizi via Kijeshi…
29 Nov 12AM 11 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 22.11.2024

Habari gani, Karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 22.11.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa vya Habari: 🔸 Kikosi Cha Kijeshi Cha Namparama waliuawa Huko Ancuabe 🔸 Majeshi wa FADM wamenusuru mji wa…
22 Nov 2AM 10 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahilli 15.11. 2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 15.11.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: 🔸 Kuenea Kwa Magaidi kunasababisha watu kukimbia Muidumbe 🔸 Magaidi hushambulia eneo lá uzalishaji Huko Meluco…
15 Nov 4AM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 08.11. 2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 08.11.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media wa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa vya Habari: 🔸 Waasi Waua watu wawili Huko Muidumbe. 🔸 Mwaka wa Shule ulipotea Kwa wanafunzi wa Mazeze…
11 Nov 3AM 11 min