Sauti Ya Cabo Delgado 20.09.2024

Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 20.09.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media .

Vichwa vya Habari wiki hiii:

🔸 Gavana wa Cabo Delgado ashauri thidi ya Kurudi Mukojo Maramoja.

🔸 Watu 17 wameukumiwa Kwa wahalifu wa kigaidi.

🔸 Mamulaka ya uchaguzi wamiakikisha kwamba uchaguzi utafanyika Katika Jimbo lote la Cabo Delgado .

Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata Habari izi kupitia WhatsApp kila Alhamisse Kwa kutuma ujumbe kwenda kwenye +2543285766 Kisha uchague lugha Kati ya Kireno, kimakuwa, kimakonde, Kimuani na kiswahili.

Plural Media habari Kwa lugha yako.
20 Sep 2024 10AM Swahili South Africa Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 25. 04. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 25.04.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Harakati za kigaidi zinalazimisha masomo kusimamiswa Katika Shule 13 🔸 Ugaidi unalazimisha kufungwa Kwa Shule zaidi ya Shule 100 huko Cabo Delgado…
25 Apr 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 18. 04. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 18.04.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Majeshi wa Mozambique Awana dalili zozote kuhusu wanajeshi waliotekwa na magaide kwenye bara bara namber 380 🔸 Magaide wamefunga barabara namber 14 inayounganisha…
18 Apr 4AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 28. 03. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 28.03.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: 🔸 Mwanajeshi wa Kikosi Cha wagambo ameuwawa Wilaya ya Macomia 🔸 Gavana wa Cabo Delgado anawalinganisha…
27 Mar 11PM 13 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 21. 03. 2025

Habari gani karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 21.03.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: 🔸 Mzozo wa mafuta umeanza huko Cabo Delgado 🔸 Magaide waua mtu Moja Meluco 🔸…
21 Mar 4AM 10 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 14. 03. 2025

Habari gani karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 14.03.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: 🔸 Magaide wamilazimisha kufunga Shule ya Mocimboa da Praia 🔸 Rwanda inatathimine Vyema utendaji wake…
15 Mar 12PM 12 min