Sauti Ya Cabo Delgado 18.07.2024

--:--
Habari gani , karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 18.07.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Vichwa vya Habari:

🔸 Majeshi wa Rwanda wanadaiwa kumiliki nyumba za watu waliokimbia

🔸 Mahusiano kati ya Majeshi wa Mozambique na wakazi wa Macomia yanazidi kuwa mbaya

🔸 Waasichana wanalazimishwa kuolewa na Magaidi, a Asema save the children.

Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata Habari izi kupitia WhatsApp kila Jumanne na Alhamisse Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea Kati ya Kireno, Kimakuwa, kimakonde, Kimuani na kiswahili.

Plural Media habari Kwa lugha yako.
18 Jul 12AM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 25.10.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 25.10.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. 🔸 Wachimbaji waliuawa baada ya Mapigado na police Katika migodi ya Ruby Huko Montepuez. 🔸 Macomia na Quissanga…
25 Oct 1AM 10 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili - 18.10.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 18.10.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa vya Habari: 🔸 Wanyarwanda wapeleka kikosi Cha Kijeshi Mucojo 🔸 Watu wanawatuhumu wanajeshi Kwa kuwauwa madereva wawili wa…
18 Oct 3PM 11 min

Sauti Ya Cabo Delgado 12.10.2023

Habari gani karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 12.10.2024, Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media wakishilikiana na mradi wa Amani na utulivu. Vichwa vya Habari: 🔸 Rais wa Jamhur amfukuza kazi mkuu wa Majeshi 🔸 Kiwanda Cha kubangua korosho kimiajiri watu…
11 Oct 4PM 10 min

Sauti Ya Cabo Delgado 05.10.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 05.10.2024, Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media wakishilikiana na mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: 🔸 Cabo Delgado bado si salama a sema CIP. 🔸 Kituo cha afya chá Macomia kitafungua…
5 Oct 1AM 9 min

Sauti Ya Cabo Delgado 27.09.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 27.09.2024, Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Wanajeshi wa Mozambique wamesema Magaidi wamepoteza nguvu kwenye Pwani ya Macomia 🔸 Majeshi wa Mozambique huenda wakahusika na vifo vya raia Waliopatikana…
27 Sep 10AM 10 min