Sauti Ya Cabo Delgado 06.06.2024

--:--
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 06.06.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Vichwa vya Habari:

🔸 watu kuchukuliwa Kwa nguvu wanapotoka nje Wilaya ya Chiure

🔸 Idade ya watu Mbau Awana huduma ya afya

🔸 Mabaki ya binadamu yapatikana Katika mji wa Macomia.

Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata Habari izi kupitia WhatsApp kila Jumanne na Alhamisse Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea Kati ya Kireno, kimakuwa, kimakonde, Kimuani, na kiswahili.

Plural Media habari Kwa lugha yako.
6 Jun 12AM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti ya Cabo Delgado 20.06.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado, terehe 20.06.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Umoja wa ulaya huenda ukaidhinisha fedha zaidi Kwa Rwanda kupambana na ugaidi 🔸 UN Cabo Delgado…
20 Jun 5AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 18.06.2024

Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 18.06.2024.Ssuti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Vichwa vya Habari: 🔸 Ntoto afariki kutokana na bomu ya Ardhini Mocimboa da Praia 🔸 Mgombea wa Frelimo Daniel Chapo ashawishika…
17 Jun 2PM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 13.06.2024

Habari gani karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 13.06.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Vichwa vya Habari: 🔸 Mashirika yasio ya kiserikali yasema yamepoteza pesa nyingi Katika mashambulizi ya Macomia 🔸 Magaidi walijalibu…
13 Jun 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 11.06.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 11.06.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Vichwa vya Habari: 🔸 Zaidi ya waasi 70 wauwawa Mbau yalipoti TVM. 🔸 Nyusi anatambua juhudhi za Majeshi Katika kupambana…
11 Jun 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 04.06.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 04.06.2024.Ssuti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado . Vichwa vya Habari: 🔸 Wafanyikazi wa Muidumbe walazimiswa kurudi kazini 🔸 Quissanga na Ibo bila umeme kwa muda wa…
4 Jun 12AM 4 min