Sauti Ya Cabo Delgado 04.04.2024

--:--
Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado, terehe 04.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu:

🔸 Magaidi waweka milango Mucojo.

🔸 Kazi za ukarabati katika barabara ya Macomia oasse zimeanza.

🔸 Kitengo cha uchaguzi jimbo la Cabo Delgado yasema imisajili 49% ya wapiga kura wanaotarajiwa.

Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook,telgram na program yoyote ya podcast au telmbelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamissi kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.

Plural Media habar kwa lugha yako.
4 Apr 1AM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado 30.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 30.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Cabo Ligado inasasisha data ya Juu ya vifo katika shambulio la Palma mnamo 2021 🔸 SAMIM…
30 Apr 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 25.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 25.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Shambulio lá ki gaidi wauwawa watu watatu wilaya ya Chiure 🔸 Magali yalikuwa ayazunguki katika sehemu…
25 Apr 1AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 23.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 23.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Ofisi kuu ya Sheria wametoa ordha mpya ya Magaidi 🔸 Magaidi waachilia wanawake watatu wilaya ya…
23 Apr 2AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 18.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 18.04.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Rubani wa Africa kusini na Polisi wa Mozambique wafariki katika ajali ya Ndege 🔸 Wanajeshi…
18 Apr 1AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 16.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 16.04.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Majeshi wanaendelea mashambulizi didhi ya Magaidi wilaya ya Macomia. 🔸 Magaidi waua Raia watano Wilaya…
16 Apr 1AM 5 min