Sauti Ya Cabo Delgado 02.04.2024
--:--
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado, tarehe 02.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu.
🔸 Askofo wa Pemba aalani uenezaji wa picha kuhusu ugaidi huko Cabo Delgado.
🔸 Maisha yamerudi kawaida huko Mazeze.
🔸 Wachambuzi wanahofia kuwa kuondoka Kwa SAMIM kunaweza kuhatarisha usalama Huko Cabo Delgado .
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.