Sauti Ya Cabo Delgado 29.02.2024

Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 29.02.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu:

🔸 Serikakali yasema hakuna mashariti ya kutangaza hali ya dharura Huko Cabo Delgado

🔸 Mlipuko mpya wa kipindupindu umesajiliwa wilaya ya Chiure

🔸 Nyusi anataka kuimarisha ufuatiliaji kwenye mpaka na Tanzânia.

Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.
29 Feb 2024 12AM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 24. 01. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 24.01.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: 🔸 Wananchi wa Macomia wanaridhika utenji kazi Pmajeshi wa Rwanda 🔸 Watu wasiojulikana uleta hofu Katika…
24 Jan 2AM 10 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 17. 01. 2025

Habari gani, Karibu kwenye toleo ya Cabo Delgado terehe 17.01.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: 🔸 Daniel Chapo anaahidi kuimarisha Jeshi Katika juhudi za kukabiliana na waasi huko Cabo Delgado 🔸 Watu…
17 Jan 3AM 11 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 10. 01. 2025

Habari gani, Karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 10.10.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: 🔸 Kazi ya kuchimba grafite ya Ancuabe zimisimama zaidi ya miaka miwili 🔸 Wathiriwa wa…
10 Jan 12AM 14 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 03. 01. 2025

Habari gani, Karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 03.01.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa vya Habari: 🔸 Cabo Delgado hakuna Kesi za kutengana Família Zinazohusisha watoto, inakikisha UNICEF 🔸 Ngogora wa baada…
3 Jan 1AM 10 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 31.12. 2024

Habari gani Karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 31.12.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa vya Habari: 🔸 Wananchi wa Muidumbe wanakimbia kutokana na kuwepo Kwa waasi . 🔸 Watu tisa wafariki…
31 Dec 2024 2AM 9 min