Sauti Ya Cabo Delgado 15.02.2024

Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 15.02.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu:

๐Ÿ”ธ Miradi ya gesi Huko Cabo Delgado yasababisha tofauti za kijami

๐Ÿ”ธ Magaidi washambulia Mazeze wilaya ya Chiure

๐Ÿ”ธ Magaidi Wadai kufanya mashambulizi Huko Cabo Delgado.

Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.
15 Feb 2024 12AM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 07. 02. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 07.02.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: ๐Ÿ”ธ Pundanhar inaludi Katika hali ya Kawaida baada ya shambuliio ๐Ÿ”ธ Zaidi ya Shule 80โ€ฆ
7 Feb 5AM 12 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 31. 01. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 31.01.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari. Wilaya mbili za Cabo Delgado zinakabiliwa na kipindupindu.: ๐Ÿ”ธ Takribani watu wawili waliuawa Katika shambuliziโ€ฆ
31 Jan 2AM 12 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 24. 01. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 24.01.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: ๐Ÿ”ธ Wananchi wa Macomia wanaridhika utenji kazi Pmajeshi wa Rwanda ๐Ÿ”ธ Watu wasiojulikana uleta hofu Katikaโ€ฆ
24 Jan 2AM 10 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 17. 01. 2025

Habari gani, Karibu kwenye toleo ya Cabo Delgado terehe 17.01.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: ๐Ÿ”ธ Daniel Chapo anaahidi kuimarisha Jeshi Katika juhudi za kukabiliana na waasi huko Cabo Delgado ๐Ÿ”ธ Watuโ€ฆ
17 Jan 3AM 11 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 10. 01. 2025

Habari gani, Karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 10.10.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: ๐Ÿ”ธ Kazi ya kuchimba grafite ya Ancuabe zimisimama zaidi ya miaka miwili ๐Ÿ”ธ Wathiriwa waโ€ฆ
10 Jan 12AM 14 min