Sauti Ya Cabo Delgado 08.02.2024

--:--
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 08.02.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu:

๐Ÿ”ธ Wilaya ya Metuge inawakaribisha zaidi ya watu 77.000 waliokimbia makazi Yao

๐Ÿ”ธ Urusi Iko tayari kusaidia Mozambique katika Vita ya Cabo Delgado

๐Ÿ”ธ Makundi ya dini Huko Niassa wahofia mashambulizi ya kigaidi huko Cabo Delgado.

Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram, na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.
7 Feb 11PM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado 29.02.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 29.02.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: ๐Ÿ”ธ Serikakali yasema hakuna mashariti ya kutangaza hali ya dharura Huko Cabo Delgado ๐Ÿ”ธ Mlipuko mpya waโ€ฆ
29 Feb 12AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 27.02.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 27.02.2024.Ssuti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: ๐Ÿ”ธ ExxonMobil yaahaidi kufazili Cabo Delgado. ๐Ÿ”ธ KOIKA na mpago wa chakula duniani kujiunga na juhudi zaโ€ฆ
26 Feb 11PM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 23.02.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 23.02.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: ๐Ÿ”ธ Wafanyabiashara wa Cabo Delgado wahofia kuongezeka kwa uvamizi wa magaidi ๐Ÿ”ธ Magaidi wachoma Lori naโ€ฆ
23 Feb 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 20.02.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 20.02.2024. sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa: ๐Ÿ”ธ Nyusi hajafirahishwa na onyo kutoka kwa ubalozi wa ufaransa kuhusu Cabo Delgado ๐Ÿ”ธ Gavana wa Cabo Delgadoโ€ฆ
19 Feb 11PM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 15.02.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 15.02.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: ๐Ÿ”ธ Miradi ya gesi Huko Cabo Delgado yasababisha tofauti za kijami ๐Ÿ”ธ Magaidi washambulia Mazeze wilaya yaโ€ฆ
15 Feb 12AM 4 min