Sauti Ya Cabo Delgado 28.11.2023
--:--
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 28.11.2023. sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu.
🔸 Imeundwa tume ili kudumisha mazungumuzo na magaidi Huko Cabo Delgado
🔸 Kuna shambulio Jipya kwenye Kijiji cha Nantadora wilya ya Mocimboa da Praia
🔸 PNUD inatenga rasilimali za kilimo kwa wilaya nne zilizoharibiwa na mashambulizi ya kigaidi.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +25884328766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.