Sauti Ya Cabo Delgado 16.11.2023

--:--
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 16.11.2023. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

🔸 Família zakimbia Muidumbe kutokana na ukosefu wa usalama.

🔸 Shambulizi Jipya Laua watu wanne katika eneo la inguri wilaya ya Muidumbe.

🔸 Wakurima wa wilaya ya Palma bado hawana mbengu Kwa msimu huu wa Kilimo.

Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.
16 Nov 12AM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado 30.11.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 30.11.2023. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Japan inataka juhudi zaidi kuboresha usalama Huko Cabo Delgado 🔸 Moto wateketeza ghala la SISE…
30 Nov 12AM 8 min

Sauti Ya Cabo Delgado 28.11.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 28.11.2023. sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Imeundwa tume ili kudumisha mazungumuzo na magaidi Huko Cabo Delgado 🔸 Kuna shambulio Jipya kwenye…
27 Nov 11PM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 23.11.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 23.11.2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Shambulio Jipya Huko Muidumbe limesababisha vifo vya watu wawili na kutekwa nyara Kwa wanawake 11. 🔸…
22 Nov 2PM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 21.11.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 21.11.2023. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Watu wanne mamekamatwa Kwa tuhuma za kufadili magaidi 🔸 Utafiti wa SIP unaonyesha ongezeko la…
20 Nov 11PM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 14.11.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 14.11.2023.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Raia wanne waliuawa katika shambulio linalohusishwa na magaidi Huko Macomia 🔸 Takribani watu milion moja walirejea…
14 Nov 1AM 7 min