Sauti Ya Cabo Delgado 14.11.2023
--:--
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 14.11.2023.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu.
🔸 Raia wanne waliuawa katika shambulio linalohusishwa na magaidi Huko Macomia
🔸 Takribani watu milion moja walirejea katika vijiji vyao vya asili anahakikisha Gavana
🔸 Vifa vya magaidi viligunduliwa katika wilaya ya Macomia.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.