Sauti Ya Cabo Delgado 26.09.2023
Loading player...
Habari gani karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 26.September,2023.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwasasa mambo muhimu.
🔸 Idade ya watu waliorudi Pangani wamekimbia tena Magaide.
🔸 Idade ya watoto elfu 200 walirudi tena makwao na Família Zao.
🔸 Wazir wa mambo ya ndani anahakikisha kwamba Kuna usalama kwa ajili ya uchaguzi Huko Cabo Delgado.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram, na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.