Sauti Ya Cabo Delgado 12.09.2023

--:--
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe,12,2023. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Kwasasa mambo muhimu.

🔸 Misheni ya umoja wa ulaya unaweza kuendelea nchi Mozambique.

🔸 Milioni 600 zinahitajika kurejesha miundumbinu ya sekta Haki katika Cabo Delgado.

🔸 Usalama umerejeshwa kabisa uko Palma Amesema mkuu wa wilaya.

Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telgram, na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno, kimakuwa, kimakonde, kimuani na kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako
12 Sep 2023 12AM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado 25.07.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 25.07.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Vichwa vya Habari: 🔸 Magaidi waendelea kusambaa Mbau 🔸 Wanawake wajawazito Katika hali Tata huko Macomia 🔸 Nyusi asisitiza kuwa…
25 Jul 2AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 23.07.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 23.07.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Vichwa vya Habari: 🔸 Idade ya watu wa Mocimboa da Praia wanaishi Kwa kutumia viazi 🔸 Mchimbaji Dhababu mwingine afariki…
23 Jul 2AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 18.07.2024

Habari gani , karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 18.07.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Vichwa vya Habari: 🔸 Majeshi wa Rwanda wanadaiwa kumiliki nyumba za watu waliokimbia 🔸 Mahusiano kati ya Majeshi…
18 Jul 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 16.07.2024

Habari gani karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 16.07.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Vichwa vya Habari: 🔸 Manicipa ya Mocimboa da Praia na Ibo zinafanya kazi Kwa ufanisi kutokana na ukosefu wa Pesa…
16 Jul 1AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 12.07. 2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 12,07,2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Vichwa vya Habari: 🔸 Wanajeshi waunne wauwawa na wananchi Wilaya ya Macomia 🔸 Majeshi wajitetea Kwa mauwaji ya mfanyabiashara…
12 Jul 1AM 4 min