Sauti Ya Cabo Delgado 14.03.2023
--:--
Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 14,Machi 2023, sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Média kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Kwa sasa mambo muhimu.
🔸 Mocimboa da Praia wanakarabati bandari âmbayo ilikaliwa na magaidi.
🔸 Watu waliorejea Cabo Delgado wanakosa uduma wa kimsingi
🔸 Idade ya watu Muatidi husafiri kilomita 7 kwa miguu kupata huduma za afya.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook,telgram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.Org.
Unaweza pia kupata habari izi kupitia WhatssAp kila Jumanne na Alhamisi kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea kati ya kireno,kimakuwa,kimakonde,kimuani na kiswahili.
Plural Média Kwa lugha yako