Sauti Ya Cabo Delgado 19.01.2023

--:--
Habari gani, karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 19,Januario,2023,sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo ligado.

🔸Balaza la kiislamu linajiweka mbali na malengo ya vijana 15 waliokamatwa mji wa Pemba.

🔸Chui afanya mwathirika mbaya katika kijiji cha Mocimboa da Praia.

Pata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za facebook telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye siku kwenye WhatssAp kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,kimakuwa kimakonde,kimuani na kiswahili.

Sikiliza habari kama izi matoleo mbali mbali apa:https://iono.fm/e/1237536
Plural media habari kwa lugha yako
19 Jan 1AM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado 30.11.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 30.11.2023. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Japan inataka juhudi zaidi kuboresha usalama Huko Cabo Delgado 🔸 Moto wateketeza ghala la SISE…
30 Nov 12AM 8 min

Sauti Ya Cabo Delgado 28.11.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 28.11.2023. sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Imeundwa tume ili kudumisha mazungumuzo na magaidi Huko Cabo Delgado 🔸 Kuna shambulio Jipya kwenye…
27 Nov 11PM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 23.11.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 23.11.2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Shambulio Jipya Huko Muidumbe limesababisha vifo vya watu wawili na kutekwa nyara Kwa wanawake 11. 🔸…
22 Nov 2PM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 21.11.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 21.11.2023. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Watu wanne mamekamatwa Kwa tuhuma za kufadili magaidi 🔸 Utafiti wa SIP unaonyesha ongezeko la…
20 Nov 11PM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 16.11.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 16.11.2023. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Família zakimbia Muidumbe kutokana na ukosefu wa usalama. 🔸 Shambulizi Jipya Laua watu wanne katika…
16 Nov 12AM 6 min