Sauti Ya Cabo Delgado 12.07.2022

--:--
Karibu kwenye Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo DelgadoJumanne hii julai 12,2022.

🔸Magaidi na Majeshi wausika na moto nkali uko Pundahari.

🔸Meluco iliyoathiriwa mashambulizi mapya mawili ya kigaidi.

🔸Zaidi ya miche 200.000 ya korosho inaweza kupoteya katika kitalu cha Nanduli.

Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu mpya ya avo.org au kutoka kwa kurasa zetu za Facebook cheneli ya telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,Emakwa,shimakonde,kimuani,au kishahili.

Plural Media habari kwa lugha yako
12 Jul 2022 12PM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado 08.06.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 08,Juni,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwa Sasa mambo muhimu. 🔸 Meneja wa usalama wa total Energies ametembela Cabo Delgado. 🔸 Wanainchi wameokota miili katika eneo lá…
8 Jun 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 06.06.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 06.Juni.2023.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 Majeshi wanashutumiwa kuwanyanyasa raia katika Kijiji Cha Mocimboa da Praia. 🔸 CDD wanataka vijana washiriki…
6 Jun 2AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 01.06.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado Cabo Tarehe 01,Juni,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Maleiane anatoa wito Kwa wafanyabiashara Huko Cabo Delgado kuchukua fursa ya kuchimba gesi. 🔸 Meli itwayo…
1 Jun 1AM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 30.05.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado, tarehe 30,Mei,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 kuondolewa Kwa kampuni ya Pluxus mji Pemba kunawaweka wakulima 50.000 Huko Cabo Delgado hatarini 🔸…
30 May 1AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 25.05.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado tarehe 25.Mei.2023, sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 TotalEnergies imetoa ripoti juu tá Hali ya kibinadamu Huko Cabo Delgado. 🔸 Waasi wamiwateka nyara watu…
25 May 1AM 8 min