Sauti Ya Cabo Delgado 23.06.2022

--:--
Karibu kwenye Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Halamissi hii juni 21,2022.

🔸Mkowa wa Nampula warekodi shambulio la kwanza la kigaidi .

🔸Syrah yaanzisha tena shuguli huko Balama.

🔸INGD bila data madhubuti ju ya familia zilizoacha nyumba zao kutokana na mashambulizi ya ivi majuzi huko Cabo Delgado.

Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu mpya ya avoz.org au kutoka kwa kurasa zetu da Facebook cheneli ya telgram na program na program yoyote ya podecast.

Pokeya habari za kila siku kwenye Whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,Emakwa,Shimakonde,Kimuani, au kishuaili.

Plural Media habri kwa lugha yako.
23 Jun 2022 8AM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado 28.03.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 28.03.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Kutoka Kwa SAMIM kunapendelea magaidi, asema mtalamu 🔸 Achilia watu waliotekwa nyara na magaidi huko…
28 Mar 1AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 26.03.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 26.03.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Quissanga na Ibo wanasubir rasilimali kuletwa na ndege Kuanza sensa 🔸 Marekani inapanga kuchangia dola milioni…
26 Mar 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 21.03.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 21.03.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Serikali hutoa bidhaa kwenye masoko baada ya uporaji wa magaidi 🔸 Majeshi waimarisha doria katika ufuo…
21 Mar 12AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 19.03. 20244

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 19.03.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Nyusi aonya kuwa magaidi wataweza kugawanya inchi 🔸 Mocimboa da Praia yapokeya meli ya kwanza ya…
19 Mar 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 14.03. 2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 14.03.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 CDD inadai uwajibikaji kutoka Kwa Namparas Kwa uhalifu dhidi ya mawakala wa kitengo Cha uchaguzi 🔸…
13 Mar 4PM 4 min