Sauti Ya Cabo Delgado 16.06.2022

--:--
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi Kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Halamissi hii Juni 16,2022.

🔸Takribani watu 12.000 walihusika katika wimbi jipya la watu waliokimbia makazi yao huko Cabo Delgado.

🔸Ujumbe wa SADC utangaza kufuta magaidi huko Macomia

🔸Magari na nyumba ziliunguwa karibu kabisa na mji wa pemba.

Endelea kupata habar za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu mpya ya avoz .org au kutoka kwa kurasa zetu za Facebook cheneli ya telgram na programa yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha yako kati ya Kireno,Emakwa, Shimakonde ,kimuani au Kishuaili.

Plural Media habari kwa lugha yako.
16 Jun 2022 11AM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado 25.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 25.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Shambulio lá ki gaidi wauwawa watu watatu wilaya ya Chiure 🔸 Magali yalikuwa ayazunguki katika sehemu…
25 Apr 1AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 23.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 23.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Ofisi kuu ya Sheria wametoa ordha mpya ya Magaidi 🔸 Magaidi waachilia wanawake watatu wilaya ya…
23 Apr 2AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 18.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 18.04.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Rubani wa Africa kusini na Polisi wa Mozambique wafariki katika ajali ya Ndege 🔸 Wanajeshi…
18 Apr 1AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 16.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 16.04.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Majeshi wanaendelea mashambulizi didhi ya Magaidi wilaya ya Macomia. 🔸 Magaidi waua Raia watano Wilaya…
16 Apr 1AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 11.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 12.04.2024, sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Magaidi kusherekehea muisho wa Ramadhani pamoja na wakazi wa kagembe. 🔸 Semu ya Macomia na…
12 Apr 3AM 5 min