Sauti Ya Cabo Delgado 09.06.2022

Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Halamissi hii Juni 09,2022.tunayo mambo muhimu yafuatayo.

🔸Msimamizi wa Ancuabe anawahimiza watu waliohamishwa kurudi kwenye makazi yao .

🔸Mashambulizi ya ivi Majuzi ya Ancuabe na harakati za kigaidi za Quisanga zinaweza kutishia kurejeya kwa watu waliokimbia makazi yao.

🔸Mercani inatowa Dola milioni 100 kusaidia waliokimbia makazi yao.

Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook cheneli ya telgram na program yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye Whatpssap kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,Emakwa,Shimakonde,Kimuani au kishuhili.

Plural Media habari kwa lugha yako.