Sauti Ya Cabo Delgado 07.06.2022

--:--
Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Jumanne hii Juni,07,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo.

🔸Waasi wanaendelea mashambulizi katika wilaya ya Ancuabe na kuua watu 7.

🔸Polisi huko Cabo Delgado wanawashikilia watu kwa kuonekana kuwa waisilamu,ripoti ya Mercani inakashifu.

🔸Serikali itangoa hekta 25.000 huko Palma sio 12.000.

Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu ya avoz.org au kutoka kwa kurasa zetu za Fecebook cheneli ya telgram na program yoyote podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye Whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +25883285766 kisha uchague lugha yako,kati ya Kireno,Emakwa Shimakonde,Kimuani au Kishuhili.

Plural media habari kwa lugha yako.
7 Jun 2022 8AM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado 16.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 16.04.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Majeshi wanaendelea mashambulizi didhi ya Magaidi wilaya ya Macomia. 🔸 Magaidi waua Raia watano Wilaya…
16 Apr 1AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 11.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 12.04.2024, sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Magaidi kusherekehea muisho wa Ramadhani pamoja na wakazi wa kagembe. 🔸 Semu ya Macomia na…
12 Apr 3AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 09.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado, terehe 09.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Wanajeshi wa SAMIM waanza kuondoka Cabo Delgado. 🔸 Ugumu wa usambazaji chakula unaendelea Mocimboa da Praia…
10 Apr 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 04.04.2024

Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado, terehe 04.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Magaidi waweka milango Mucojo. 🔸 Kazi za ukarabati katika barabara ya Macomia oasse zimeanza. 🔸 Kitengo cha…
4 Apr 1AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 02.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado, tarehe 02.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Askofo wa Pemba aalani uenezaji wa picha kuhusu ugaidi huko Cabo Delgado. 🔸 Maisha yamerudi kawaida…
2 Apr 2AM 6 min