Sauti Ya Cabo Delgado 14.01.2022
--:--
Habari yako,karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya Januari 14,2022 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni mahada za habari.
🔸Mashambulizi katika kijiji cha mariria yalazimisha Barabara kuu ya kwelekeya Meluco kusimama.
🔸TVM yatoa dekoda 80 za TMT kwa serekali ya Cabo Delgado.
🔸Mashambulizi kadhaa yamesababisha vifo vya watu Saba huko Mueda na Nangade.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari za kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe number +258843285766 kisha uchague lugha yako Kati ya kireno Emakwa Shimakonde kimuani au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.