Sauti Ya Cabo Delgado 13.01.2022

--:--
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya Januari 13, 2022 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.

Zifuatazo ni mahada za habari.

🔸Mkutano wa waku wa SADC wamua kwengeza muda wa kukaa wanajeshi kwa zaidi ya miezi mitatu

🔸Viongozi wa Dini wakiombeya amani katika kijiji cha Mocimboa da Praia.

🔸Hali ya usalama yazidi kuzorota Nangade.

Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.

Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe number +258843285766 kisha uchague lugha yako Kati ya kireno Emakwa Shimakonde kimuani au kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.
13 Jan 2022 6AM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado 16.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 16.04.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Majeshi wanaendelea mashambulizi didhi ya Magaidi wilaya ya Macomia. 🔸 Magaidi waua Raia watano Wilaya…
16 Apr 1AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 11.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 12.04.2024, sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Magaidi kusherekehea muisho wa Ramadhani pamoja na wakazi wa kagembe. 🔸 Semu ya Macomia na…
12 Apr 3AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 09.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado, terehe 09.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Wanajeshi wa SAMIM waanza kuondoka Cabo Delgado. 🔸 Ugumu wa usambazaji chakula unaendelea Mocimboa da Praia…
10 Apr 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 04.04.2024

Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado, terehe 04.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Magaidi waweka milango Mucojo. 🔸 Kazi za ukarabati katika barabara ya Macomia oasse zimeanza. 🔸 Kitengo cha…
4 Apr 1AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 02.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado, tarehe 02.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Askofo wa Pemba aalani uenezaji wa picha kuhusu ugaidi huko Cabo Delgado. 🔸 Maisha yamerudi kawaida…
2 Apr 2AM 6 min