Sauti Ya Cabo Delgado 11.01.2022

--:--
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya 11 Januari,2022, sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado

Zifuatazo ni mahada za habari.

🔸Watu watatu waliachua na wanafamilia bahada ya shambulizi huko Meluco.

🔸Makubaliano yatiwa saini Kati ya Msumbiji na Rwanda kupanua wanajeshi wa Rwanda huko Cabo Delgado.

🔸Watu milioni 1.1 watakabiliwa na njaa kaskazini mwa Msumbiji.

Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.

Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe +25884325766 Keisha uchague lugha yako Kati ya kireno Emakwa Shimakonde kimuani au kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.
11 Jan 2022 7AM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado 23.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 23.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Ofisi kuu ya Sheria wametoa ordha mpya ya Magaidi 🔸 Magaidi waachilia wanawake watatu wilaya ya…
23 Apr 2AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 18.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 18.04.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Rubani wa Africa kusini na Polisi wa Mozambique wafariki katika ajali ya Ndege 🔸 Wanajeshi…
18 Apr 1AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 16.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 16.04.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Majeshi wanaendelea mashambulizi didhi ya Magaidi wilaya ya Macomia. 🔸 Magaidi waua Raia watano Wilaya…
16 Apr 1AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 11.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 12.04.2024, sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Magaidi kusherekehea muisho wa Ramadhani pamoja na wakazi wa kagembe. 🔸 Semu ya Macomia na…
12 Apr 3AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 09.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado, terehe 09.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Wanajeshi wa SAMIM waanza kuondoka Cabo Delgado. 🔸 Ugumu wa usambazaji chakula unaendelea Mocimboa da Praia…
10 Apr 12AM 5 min