Sauti Ya Cabo Delgado 10.01.2022

--:--
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya Januari 10,2022 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media wakishirikiana na Mardi wa Cabo Ligado.

Zifuatazo ni mahada za habari.

🔸Zaidi ya wakimbizi 1000 waliyorejesha kutoka Tanzania wanaondoka katika kituo cha muda cha Negomano.

🔸Gavana wa Cabo Delgado anahimiza kwamba shere za kitamaduni zifuate itifaki ya kuzuia covid_19.

🔸Wajesilimali wa Cabo Delgado wanafikira kuunda kituo cha biashara ili kuakaribisha wajesilimali wa siku zijazo.

Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe +25884325766 kisha uchague lugha yako Kati ya kireno, Emakwa Shimakonde kimuani au kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.
10 Jan 2022 6AM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado de 07.05.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 07 Mei,2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Nyusi asema ugaidi hauwezi kuhalalisha kukatizwa miradi ya Gesi 🔸 ADIN inachagua makampuni ya watu…
7 May 2AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 02.05.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe,02.05.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Wilaya ya Chiure, aina njia ya kuwahamisha watu waliokimbia makazi yao hadi vituo Vya Mapokezi 🔸 Polisi…
3 May 2AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 30.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 30.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Cabo Ligado inasasisha data ya Juu ya vifo katika shambulio la Palma mnamo 2021 🔸 SAMIM…
30 Apr 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 25.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 25.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Shambulio lá ki gaidi wauwawa watu watatu wilaya ya Chiure 🔸 Magali yalikuwa ayazunguki katika sehemu…
25 Apr 1AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 23.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 23.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Ofisi kuu ya Sheria wametoa ordha mpya ya Magaidi 🔸 Magaidi waachilia wanawake watatu wilaya ya…
23 Apr 2AM 4 min