Lidi Lya Cabo Delgado 03.12.2021

Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya December 03,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.

Zifuatazo ni Mahada za habari.

🔸Serikal inaunda Mabarabara ya usalama ya Jami uko Cabo Delgado.

🔸ACNUR na UCM wanaendelea kufanya kazi upatikanaji wa hati ya wakimbizi.

🔸Bado Kuna ukosefu wa msahada wa chakula kwa wakimbizi huko Cabo Delgado.

Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.

Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.