Sauti Ya Cabo Delgado 08.11.2021

Habari yako karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya November 08,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.

Zifuatazo ni Mahada za habari.

🔸Kiongozi wa wanajeshi wa msumbiji, anasema kuna hatua za kinidhamu dhidi ya wanajeshi waliohusika katika wizi wa Benk uko Palma.

🔸Umoja wa falme za kiarabu utatoa kontena 20 za bidhaa za chakula kwa whaathiriwa wa watu waliokimbia makazi yao huko Cabo Delgado.

🔸Raisi Nyusi anasema kuwa suluhu Ugaidi iko mikononi mwa raia wote wa msumbiji.

Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.

Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.