Sauti Ya Cabo Delgado 07.10.2021

--:--
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya oktuba 07. 2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.

Zifuatazo ni Mahada za habari.

🔸Magaidi wateka nyara wanawake Saba wilayani Macomia.

🔸Dini omba amani uko Cabo Delgado.

🔸Mtalamu wa Africa kusini anashuku kuhusika kwa ufaransa katika maisha ya wanajeshi wa Rwanda uko Cabo Delgado.

Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.

Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako
7 Oct 2021 1AM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado 28.03.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 28.03.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Kutoka Kwa SAMIM kunapendelea magaidi, asema mtalamu 🔸 Achilia watu waliotekwa nyara na magaidi huko…
28 Mar 1AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 26.03.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 26.03.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Quissanga na Ibo wanasubir rasilimali kuletwa na ndege Kuanza sensa 🔸 Marekani inapanga kuchangia dola milioni…
26 Mar 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 21.03.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 21.03.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Serikali hutoa bidhaa kwenye masoko baada ya uporaji wa magaidi 🔸 Majeshi waimarisha doria katika ufuo…
21 Mar 12AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 19.03. 20244

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 19.03.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Nyusi aonya kuwa magaidi wataweza kugawanya inchi 🔸 Mocimboa da Praia yapokeya meli ya kwanza ya…
19 Mar 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 14.03. 2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 14.03.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 CDD inadai uwajibikaji kutoka Kwa Namparas Kwa uhalifu dhidi ya mawakala wa kitengo Cha uchaguzi 🔸…
13 Mar 4PM 4 min