Sauti Ya Cabo Delgado 06.10.2021

Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya oktuba 06,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.

Zifuatazo ni Mahada za habari.

🔸Filipe Nyusi azunguzia matokeo mazuri katika operesheni dhidi ya magaidi huko Cabo Delgado.

🔸Ujumbe wa jeshi la SADC anaua kiongozi wa kigaidi na wengine 18 katika wilaya ya Nangade.

🔸Jiji la Pemba litakua na mradi wa metical msarafu wa msumbiji.

Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.

Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.