Sauti Ya Cabo Delgado 05.10.2021

--:--
Habari yako karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya oktuba 05,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.

Zifuatazo ni Mahada za habari.

🔸Waziri wa uchume na fheda anamatumaini ya kurudi katika maeneo yaliyothariwa na magaidi huko Cabo Delgado.

🔸Wapiganaji elfu miatisa kutoka wilaya zilizoathiriwa na magaidi bila penshini huko Cabo Delgado.

🔸Program zaidi ya ajira kufhadilwa na EU kufundisha vijana 500 huko Cabo Delgado.

Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.

Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.
5 Oct 2021 2AM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado 25.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 25.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Shambulio lá ki gaidi wauwawa watu watatu wilaya ya Chiure 🔸 Magali yalikuwa ayazunguki katika sehemu…
25 Apr 1AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 23.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 23.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Ofisi kuu ya Sheria wametoa ordha mpya ya Magaidi 🔸 Magaidi waachilia wanawake watatu wilaya ya…
23 Apr 2AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 18.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 18.04.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Rubani wa Africa kusini na Polisi wa Mozambique wafariki katika ajali ya Ndege 🔸 Wanajeshi…
18 Apr 1AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 16.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 16.04.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Majeshi wanaendelea mashambulizi didhi ya Magaidi wilaya ya Macomia. 🔸 Magaidi waua Raia watano Wilaya…
16 Apr 1AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 11.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 12.04.2024, sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Magaidi kusherekehea muisho wa Ramadhani pamoja na wakazi wa kagembe. 🔸 Semu ya Macomia na…
12 Apr 3AM 5 min