Sauti Ya Cabo Delgado 01.10.2021
--:--
Habari yako karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya oktuba 01.2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Ripoti ya Cabo Ligado kutoka seteptmber 20 hadi 26 inaonyesha kupunguza kwa msada wa PMA.
🔸Raisi wa Jamhuri anafafanua kuwa waliohamishwa hawapaswi kurudi katika maeneo yao.
🔸Nguvu za jumla hpeleka kliniki mbili za afya kwa wakaazi wa Cabo Delgado.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.