Sauti Ya Cabo Delgado 30.09.2021
--:--
Habari yako karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya seteptmber 30,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Wanawake watatu walitekwa nyara na magaidi wilayani Palma.
🔸Hugaidi husababisha uharibifu wa meticas milioni 42 kwa sekta ya biashara uko Cabo Delgado.
🔸Operesheni ya nguvu ya pamoja uko Cabo Delgado inasababisha kukamatwa kwa magaidi 15 wanaoshukiwa.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.