Sauti Ya Cabo Delgado 28.09.2021

Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya seteptmber 28.2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.

Zifuatazo ni Mahada za habari.

🔸Magaidi 15 wanajisalimisha na kujisalimisha na vikosi vya ulinzi na usalama.

🔸Miundombinu ya utali iliyoharibiwa na magaidi huko Cabo Delgado inaweza kugharimu dola milioni 67 .

🔸Mbali na Lindi wanaume wenye silaha walishambuliya gari katika eneo la iba huko meluco.

Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.

Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.