Sauti Ya Cabo Delgado 22.09.2021

Habari yako,karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya seteptmber 22.2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.

Zifuatazo ni Mahada za habari.

🔸Katika jiji la pemba watu 23 waliokolewa huko Mocimboa da Praia.

🔸Milioni 21 zinaitajika kujenga awadi katika kituo cha afya huko Palma.

🔸Usajili wa wale wanaopenda kurudi katika mji wa Mocimboa da Praia.

Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.

Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.