Sauti ya Cabo Delgado — 11.5.2021

--:--
Habari yako ndugu nsikilizaji, karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado la mei,11, 2021. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa Na Plural Média na kushirikiana mradi wa Cabo Ligado.

Sasa mada za habari:

🔸Kwa kuzingatia ugaidi huko Cabo delgado, msumbiji itapa mafunzo ya kijeshi kutoka kwa vikosi vya ureno
🔸Wakati watu waliohamisha bado wanawasili kutoka palama huko pema, gavana valige Tawavbo anasema Kuwa idadi ya watu wanaliamini kikosi cha ulinzi
🔸Cabo Delgado atapokea Masada zaide wa chakula chilichonunuliwa ndani ya msumbiji.


Endelea ukipata habari kutoka mkoa wa Cabo Delgado,katika kurasa zetu za Facebook, telegram, na programo Toyota ya podcast pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe kwa +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya Kireno, Emakwa, Shimakonde, Kimuani au kiswahili.
11 May 2021 2PM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado 23.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 23.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Ofisi kuu ya Sheria wametoa ordha mpya ya Magaidi 🔸 Magaidi waachilia wanawake watatu wilaya ya…
23 Apr 2AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 18.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 18.04.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Rubani wa Africa kusini na Polisi wa Mozambique wafariki katika ajali ya Ndege 🔸 Wanajeshi…
18 Apr 1AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 16.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 16.04.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Majeshi wanaendelea mashambulizi didhi ya Magaidi wilaya ya Macomia. 🔸 Magaidi waua Raia watano Wilaya…
16 Apr 1AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 11.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 12.04.2024, sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Magaidi kusherekehea muisho wa Ramadhani pamoja na wakazi wa kagembe. 🔸 Semu ya Macomia na…
12 Apr 3AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 09.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado, terehe 09.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Wanajeshi wa SAMIM waanza kuondoka Cabo Delgado. 🔸 Ugumu wa usambazaji chakula unaendelea Mocimboa da Praia…
10 Apr 12AM 5 min